NINGEPENDA KUWATANGAZIA VIJANA WENZANGU NA WATANZANIA KWA UJUMLA.  KWA WALE AMBAO MWAKA JANA WALIKUWA WANALALAMIKA SANA PAMOJA NA KUNUNGUNIKA  KUWA HAWAPATI FURSA AU HAWASIKII FURSA MBALIMBALI.

NIMEAMUA KUWATATULIA JIBU HILO KWA KUFUNGUA BLOG HII WWW.ACCOTTZ.BLOGSPOT.COM.

NAWASIHI VIJANA WAACHE KULALAMIKA NA WATEMBELEE BLOG HUSIKA WATAPATA FURSA NYINGI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA.  PIA WAWE WAANGALIFU KABLA HAWAJATUMA MAOMBI HUSIKA KWA WADAU WASOME SIFA HUSIKA YA FURSA HIYO NDIPO WATUME.

KIJANA ACHA KUKATA TAMAA FURSA HIZI NI ZAKO ZINAKUNGOJEA WEWE CHANGAMKIA FURSA HIZO KWA KUTUMA MAOMBI.

 WAKO MDAU

EMMANUEL MWAMPISHI_
INTERNATIONAL YOUTH SPORTS AMBASSADOR IN TANZANIA
AMBASSADOR FOR PEACE IN TANZANIA,
AMBASSADOR FOR UMC-AIDS IN TANZANIA_,
NATIONAL COORDINATOR OF GREEN YOUTH GENERATION
DIRECTOR,
AIDS COMMUNITY AND ORPHAN TRUST (ACOT),
P.O BOX 42556 DAR ES SALAAM,
TANZANIA,
EAST AFRICA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...