Viwanja vinauzwa,vimepimwa na vina hati,vipo eneo la Viwanda Mwanambaya Mkuranga barabarani na vimezingatia hifadhi ya barabara,vimepakana na kiwanda cha Cement,kiwanda cha Gypsum na Yad ya Scania used,Heka 4 bei yake ni sh mil.700,zipo heka 28 nyuma ya hicho mil 700,zipo heka 4 zinapakana na ukuta wa kiwanda cha Cement Mil.600.
Zipo heka 6 hazijapimwa zipo barabarani eneo hilo hilo mil 500. Mwandenga zipo heka 67 Mil. 700,Zipo nyumba eneo la Gerezani kariakoo Mil. 700 kwa Mil.900,Round about ya Kariakoo bilioni 1 na 200 milioni.Kariakoo stendi ya Kawe ni bilioni 1 na 200 mil. Ipo beach gezaulole Kigamboni Mil.600,pia vipo viwannja vya Mil.10 na vilivyopimwa kwa mil 25 Gezaulole-Kigamboni.
Kwa mawasiliano piga namba 0652020343
Mbona bei ndogo hivyo? Lol
ReplyDeletebei za madafu hizo
ReplyDeleteUshauri wa bure, hivyo viwanja havifai kwa makazi au ofisi. Utaathirika vibaya mapafu, unapakana na kiwanda cha cement, Gypsum na Scania! What a joke! Tuyapende maisha yetu, na ndio maana ni bei poa. Wauzie hao wenye viwanda wapanue viwanda vyao.
ReplyDeleteBei kama hizi zisitangazwe mnatuvunja moyo na maisha. Mshahara wangu wote wa miaka 50 haufiki mln 100 kudadeki
ReplyDelete