Kutokana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhamasisha wakulima wa mpunga Katika mpango wake wa MAPINDUZI YA KILIMO,ILIANDAA safari ya wandishi wa habari katika mabonde ya kilimo cha Mpunga yaliopo maeneo mbalimbali kama vile Cheju,Kilombero,Upenja, Mtende na Muyuni Visiwani Zanzibar na kujionea hali halisi ya kilicho hicho inavyokwenda.kwa ujumla hali sio mbaya na wananchi wameitikia wito huo baada ya kujionea Pembejeo kadhaa zikiwa zimejaa maghalani kwa ajili ya wakulima.
Wakulima wakiendelea na kilimo chao cha Umwagiliaji.
Baadhi ya Waandishi wa habari waliofanya zianra kwenye Mabonde hayo ya Kilimo cha Mpunga wakitembelea baadhi ya Mashamba na kuzungumza na baadhi ya wakulima.
Hongereni wakulima wa Zanzibar,hicho ndicho tunachokitaka!keep it up!
ReplyDelete