Wakiwa katika picha ya pamoja meneja wa kinywaji cha Guinness Davis Kambi(katikati) na washiriki wa Guinness Football Challenge baada ya kupokea hati zao za kusafiria.
Emmanuel Temu mmoja ya washiriki waliofuzu kuingia kwenye mashindano ya Guiness Football Challenge akipokea hati ya kusafiria kutoka kwa Meneja wa kinywaji cha Guiness Davis Kambi
Mratibu wa safari Bi. Caroline akitoa maelekezo na taratibu za safari kwa washiriki waliofuzu kuingia katika mashindano ya Guinness Football Challenge wanaotarajiwa kusafiri karibuni.
Washiriki waliofuzu kuingia katika shindano la Guinness Football Challange wakisikiliza kwa makini maelekezo na taratibu za safari kutoka kwa mratibu wa safari na meneja wa kinywaji cha Guinness
It is very sad to use those kids to promote pombe!!
ReplyDeleteWashiriki wote watakaoenda Afrika Kusini wana miaka 18 au zaidi.There are no kids involved in the Guinness Football Challenge.
ReplyDeleteMdau wa juu maneno yako mazito na yanahitaji tafakuri.
ReplyDeleteLakini jee sisi wenyewe tunajitambua? Tunahamasisha taifa la walevi (samahanini lakini)
Washiriki mmepewa Pasipoti za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
ReplyDeleteZingatieni hizo ni nyaraka muhimu saaana mzitunze na mtumie kwa tija.
Pana watu wengi sana hasa wageni na majirani zetu wenye nia mbaya wanazimezea mate wanatama na wao wazipate, ila kwa sasa Koki zimebana kiasi sio kama pale awali.
Waliobahatika kuzipata bila kuwa na sifa, kamasi zitawashuka kwenye zoezi la Uhakiki wa Vitambulisho vya Taifa ni kuwa lazima watajulikana tu.
NINAISHUKURU SANA SERIKALI YETU YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUTOA VITU KAMA HIYO PASIPOTI KWA ADA FULANI , HUKU NA KADI ZA KURA NA VITAMBULISHO VYA URAIA KWA BEI YA BURE KABISA!!! , YAANI KAA PALE PIGA PICHA CHUKUA HATI YAKO!
Mzitumie Pasipoti zenu kwa safari za halali, kamwe msithubutu kuendea kwenye safari za kubeba Madawa ya Kulevya!
ReplyDeletekwan kilimanjaro lager soda ile....na they use simba and young africans kupromote pombe....bwin(madrid)kamari..
ReplyDeletekama unakosa point ni bora ukae kimya 2
nikiwatazama hapo naona katika woote mwenye sura ya kurudi bongo ni 1 au 2 wengine wote wanaenda kuzamia. Wakimaliza ziara tu kiongozi wao anatia "scout dismiss" kila mtu anaenda upande wake LOL, nakumbuka enzi zile watu wanaenda UK kwa kudandia trip za mascout.Haya kila la kheri huko South jamani.Hata mkizama muwe mnafanya mawasiliano na nyumbani.
ReplyDelete