Baadhi ya Watoto ambao majina yao hayakufahamika mara moja,wakipita kwenye mto wakati wakielekea nyumbani kwao ambako ni ng'ambo ya mto huo,kama walivyokutwa na kamera man wetu katika moja ya Vijiji vya Mkoani Singida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tutafika tu siku ya siku ninaamini tutafika kama sio ccm basi chadema lakini kwa uwezo wa mungu tutafika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...