Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Guan Fabian, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.
Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Hawa Lipapapa, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments).
Mwalimu wa Tanzania House of Talent (THT) ya jijini Dar es Salaam, Michael Nkya akitoa cheti cha kumaliza masomo ya muziki pamoja na Sauti (vocal) Ramadhani Rashid, masomo hayo yaliyokuwa yakitolewa na THT kwa ajili ya kuwajengea uwezo vijana juu ufahamu wa Muziki. Darasa hilo la muziki pamoja na Sauti (vocal) lilikuwa likiendeshwa kila mwenzi na Tanzania House of Talent (THT) jijini Dar es Salaam. Katikati ni mwalimu Aidan Magawa ambaye alikuwa akifundisha jinsi ya kutumia Vyombo vya Muziki (Music Instruments). Sherehe hiyo ya kuwaaga ilifanyika THT jijini Dar Jana.
Wanafunzi wa darasa la muziki pamoja na Sauti (vocal) wakiwa na walimu wao mara baada ya kupata vyetu vya vya kuhitimu masomo yao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...