Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Muhamed akizungumza na ujumbe wa Kampuni inayo shuhulikia Ujenzi na Uchumi wa nje(ANHU)Group co,LTD ya China kulia yake ni Makamo wa Rais wa Kampuni hiyo Wang Hao,huko ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Bi. Asha Abdalla akiwa na Katibu wa Makamu wa Pili wa Rais Khalid Salum akiuliza suali kwa Makamu wa Rais wa Kampuni inayo shuhulikia Ujenzi na Uchumi wa nje(ANHU)Group co,LTD ya China Wang Hao hayupo pichani huko ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo Wang Hao akionyesha baazi ya Viwanja mbali mbali vya mpira vilivyojengwa na Kampuni hiyo huko Vuga mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais Wang Hao wa Kampuni inayo shuhulikia Ujenzi na Uchumi wa nje(ANHU)Group co,LTD ya China akimkabidhi zawadi Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Muhamed huko ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wazanzibari wasomi na wastaarabu kama hawa Waheshimiwa tunawategemea sana katika mchakato wa Suala la Muungano nasio wale watu wa Kundi la Jazba na ukosefu wa Ustaarabu.

    ReplyDelete
  2. sasa viwanja vya mipira vitasaidia nnin au ndio wizi unapangwa hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...