Waziri wa Uvuvi na maendeleo ya mifugo Dr.Mathayo David Mathayo (katikati) akitembelea eneo la nje la machinjio ya nyama jijini Arusha wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinavyofanywa.
Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo,Dk. David Mathayo David (kulia) akiangaliwa mandhali ya ndani kwenye ya machinjio ya nyama jijini Arusha wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinavyofanywa,ambapo aliwaahidi wahusika wa machinjia hayo kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama hapa nchini likuwe.
Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk. David Mathayo David (wa pili kulia) akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Machinjio ya nyama jijini Arusha,Fabian Kisingi wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hayo na kuona kazi zinazofanywa,ambapo aliwaahidi wahusika wa machinjia hayo kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama hapa nchini likuwe.Picha na Woinde Shizza,Globu ya Jamii-Arusha.
Yaani pamoja na kufikiria kupanua soko jamani wewe Waziri huoni kuwa hapo mahali hapafai kutoka chakula cha binadamu? Hivi huoni huo uozo wa hapo mahali? Wafanyakazi wamevaa majoho meupe utadhani wako chumba cha upasuaji (Kazi nzuri) lakini mazingira hayo ni ya kutisha na ulitakiwa badala yake upafunge hapo mahali mpaka pafanyiwe ukarabati na kuleta hadhi ya chanzo cha msosi. Waziri tafadhali tafakari hilo kwanza. Mdau-CA, USA
ReplyDeleteJe wanjinjaji wa kiislam wapo?
ReplyDeleteHalal ?
ReplyDeleteSIJAELEWA HUO MNG'ARO WA MAVAZI, NI KILA SIKU AU NI SPESHO KWA MAPOKEZI YA VIONGOZI WA KITAIFA? MANA UKIPITA VINGUNGUTI HILO JI HARUFU?
ReplyDeleteHuyo hapo juu vipi,bado gizani?nyama iliyochinjwa na mkristo au muislamu,kama wewe hukuwepo,utaitambua tofauti yake?ladha yake ina tofauti?acheni ufala usio na tija!hayo mawazo ya karne ya 17!machinjio ya kisasa,siku hizi,ni mashine tupu!haya sema hapo sasa,iweje?utakataa kula nyama,kisa,zimechinjwa na mashine? badilika na wakati brother!
ReplyDeleteBrother halal sio lazima uwepo ni kuamini tu sasa wewe kama hutaki basi kula mbwa sasa huo ndio ufala na nani kakwambia hayo ni mbambo ya zamani usafi una zamani au wewe ni mtu wa mbuzi katoliki uliza uwambiwe sisi ndio waalim. Sio kukosoa tu mwisho utamkosoa baba yako bure.
ReplyDeleteIli kuondokana na Ujinga huu,serikali ihakikishe Machinjio yote sasa,yanakuwa ya Mashine tupu!kiko wapi?kuku chinja mwenyewe nyumbani;mbuzi,chinja mwenyewe nyumbani;abakie huyo ng'ombe,hadi machinjioni!tatizo liko wapi?walaji wa kitimoto wote tunawajua,wala tusidanganyane!Siku ya Kiama,patachimbika!
ReplyDelete