Basi la abiria la kampuni ya Super Sami likilipita Lori la Mizigo wakati likiwa safarini kwenda Mikoani lilitaka kwenye kona bila kuchukua tahadhari,Uendeshaji wa namna hii ni hatari sana 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Yale yale kitu gani? Mbona kona siyo mbaya na kwa mbele lori la mafuta laomekana! Hakuna mstari wa kukataza ku overtake! Sasa mabasi yasi overtake jamani?

    ReplyDelete
  2. jamani we super sami vibaya hivyo. be careful.

    ReplyDelete
  3. Si ndo hapo.....chaki haizuii kuovertake hapo;kona au eneo lisilopaswa ku-overtake chaki huashiria.

    ReplyDelete
  4. angalia mistari ya kati kati mwa barabara,inaruhusu kuovertake hivyo hana kosa,wewe uliepiga hii picha ndiyo unatakiwa kurudi VETA kusomea udereva

    ReplyDelete
  5. Hapo overtake lazma baba, mistari yote ya barabarani inakubali overtake hapo sasa shida nini?

    ReplyDelete
  6. Hakuna tatizo hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...