Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa darala la Mbutu wilayani Igunga katika mkoa wa Tabora Januari 7, 2013. Kukamilika kwa ujenzi wa daraja hili mnamo Novemba mwaka huu kutakuwa ukombozi mkubwa kwa wananchi wa eneo hilo na mikoa ya jirani
afadhali jamani wahusika mmeona umuhimu wa kurekodi na hurusha haya matukio muhimu
ReplyDelete