Toka kulia ni Afisa Mauzo wa Airtel Kagera bw Leonard maige na Meneja mauzo wa kampuni ya Airtel wa mikoa ya Kagera na kigoma bw. Peter Kimaro katikati wakikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomo ya sayansi kwa afisa elimu wa shule za sekondari Kagera bw. Florian Kimolo ikiwa ni msaada uliotolewa na Airtel kwaajili ya shule za sekondari kanyeranyere, Kirushya na Nyamigogo za Kagera, Hafla ya Makabidhioano imefanyima katika shule ya sekondari  kanyeranyere ya wilaya ya Muleba -Kagera.Mwishoni mwa wiki. Airtel imekabidhi Vitabu vyenye thamani ya shilingi milioni 9
Toka kulia ni Afisa Mauzo wa Airtel Kagera bw Leona Maige na Meneja mauzo wa kampuni ya Airtel wa mikoa ya kagera na kigoma bw. Peter Kimaro wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari kanyeranyere ya wilayani muleba mkoani kagera wakiwa wameshikiria vitabu vya sayansi na hisabati walivyokabidhiwa na kampuni ya Airtel mwishoni mwa wiki.Vitabu vilivyokabidhiwa vinathamani ya shilingi milioni 9.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mazingira ya miti katika shule hiyo yavutia ktk muonekano wa picha.

    Hongera shule ya sekondari Kanyeranyere, natoa ombi kuwepo mashindano ya kupanda miti baina ya kila shule ktk wilaya ili wanafunzi wapate mwamko wa kupanda miti pia ktk sehemu za makazi yao, biashara au ofisi wakihitimu elimu ya msingi na sekondari.
    Mdau
    Mpenda-Mazingira

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...