Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hahahaha hapo kama mtongani!

    jamaa noma!!

    ReplyDelete
  2. Uhamaji wa namna hii ni kwa mtu:

    1.anayedaiwa hana na sasa anakimbia madeni!

    2.alikuwa anakaa kwa demu sasa demu amepata mtu mwingine na yeye msela umuhimu wake sasa umekwisha!

    3.alikuwa anakaa bure kwa ndugu, umri wake umeenda na sasa wamemtimua akaanze maisha yake!

    ReplyDelete
  3. Duuuh, Maisha mzunguko!

    Masikini wee jamaa leo anahama kwa piki piki huku akiwa na godoro tu kama furniture akiwa hata kijiko na bakuli hana!

    Yamungu mengi Inshallah baadae anakuja kufanikiwa kimaisha huku akibaki kukumbuka alikotoka!

    ReplyDelete
  4. Majuu, Majuu , Majuu ndugu zetu!

    Tukipiga simu kwenye intaneti kupiga virungu mtutumie msaada mnakuwa wagumu kutoa!

    Leo angalieni ndugu yenu ametimuliwa kwa kukosa Kodi ya chumba na sasa anahama usiku kwa pikipiki!

    ReplyDelete
  5. Ahhh jamani maisha mchaka mchaka!,

    Hapo ndio hivyo upo juu ya pikipiki umekumbatia godoro lako unahama uendako hati hati hujui ni mpaka ufike, kwa vile unakwenda kusomesha kwa Mshikaji akupe hifadhi ya muda hadi upate kwako!

    Ukiangalia mfukoni hela ya mwisho ndiyo hiyo ya kumlipa Boda boda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...