Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto) akimsisitiza jambo mshindi wa Promosheni ya"MAHELA"ambae ni dereva wa Bajaji Mbezi Kimara Bw.Paskal Susuma(kulia)wakati wa kumkabidhi pesa zake kiasi cha shilingi Milioni 1 aliyojishindia katika promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa,katikati ni Meneja uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu.
Mshindi wa Promosheni ya "MAHELA"Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar es Salaam Bi.Liberata Kaligita akishuhudiwa na Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto)pamoja na Ofisa Polisi Bethuel Sumari, akihesabu fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 5 .alizojishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa (kushoto) akimkabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 mshindi wa Promosheni ya "MAHELA"Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar es Salaam Bi.Liberata Kaligita.Aliejishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa,katikati ni Ofisa Polisi Bethuel Sumari.
Mshindi wa Promosheni ya "MAHELA"Ofisa wa Polisi kanda maalumu ya jijini Dar es Salaam Bi.Liberata Kaligita alieshikilia pesa akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kukabidhiwa pesa zake kiasi cha shilingi Milioni 5 alizojishindia kwenye promosheni hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Mawasilianao wa Vodacom Tanzania, Rukia Mtingwa.Jumla ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
Baadhi ya washindi wa Promoshesheni ya"MAHELA" inayoendeshwa na Vodacom Tanzania wakingoa na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kukabidhiwa pesa zao kwenye makao makuu ya Vodacom Tanzania Mlimani city jijini Dar es salaam. Zaidi ya shilingi milioni 400 zinaendelea kushindaniw
Naona ni bora wangekuwa wanatoa hundi! Wengine wakiona pesa rahic kujipanga kuwavamia
ReplyDeleteNakubaliana na mdau hapo huu. Hii ya kutoa mabulungutu ya noti kwa washindi na kutangaza ni hatari kwa maisha yao.
ReplyDelete