MWENYEKITI mpya wa CCM Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir, akipeana mkono
na aliyekuwa mpinzani wake Abubakar Mzuka katika uchaguzi wa kuwania
uenyekiti wa kata hiyo uliofanyika wiki iliyopita katika Ukumbi wa CCM,
Ilala, Dar es Salaam.
MWENYEKITI Mpya wa CCM Kata ya Jangwani, Mohamed Bawazir,
akizungumza na wanachama wa kata ya Jangwani mara baada ya kushinda
nafasi hiyo.
Bawazir akipongezwa na Diwani wa Kata ya Jangwani Abuu Jumaa mara baada ya kutangazwa mshindi.
SAFI KIDUME CHAPA KAZI WAMEBANA WAMEACHIA.UTAFIKA MBALI
ReplyDeleteSafiii
ReplyDelete