Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pato la Mkoa limekuwa likiongezeka mwaka hadi mwaka,kutoka kiwango cha asilimia 3.43 mwaka 2005 hadi kufikia 3.45 mwaka 2011-haya ni maendeleo yaani ki wastsni pato linaongezeka kwa asilimia 0.0033 kwa mwaka sawa na hakuna. Jamani hii inchi ...........

    ReplyDelete
  2. Hongera sana wana Rukwa na watendaji wa CCM na Serikali yake na sekta binfsi kwani jitihada za kutekeleza mipango endelevu zinaonekana. Tuongeze ubunifu na kasi ya uwezeshaji kwa vijana(wake/waume) kwa mtawanyo sawia ili tufikie malengo yetu kwa ubora na uyakinifu.

    MAINA ANG'IELA OWINO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...