Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Kipenjama Ndile(kulia) akipokea msaada  unga na simenti kutoka kampuni ya Ophir Energy Plc vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13 kwa ajili ya wathirika  wa mafuriko wilayani humo. Msaada huo ulikabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule.

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw Wilman Kipenjam Ndile akitoa shukrani kwa kampuni ya Ophir Energy plc mara baada ya kupokea msaada wa chakula na saruji vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13.2, kwa ajili ya waathirika  wa mafuriko wilayani humo. Shoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule(kushoto) na mwakilishi wa wahanga hao mlemavu wa macho Bw Mohammed Omari. Picha na Executive Solutions

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Good job my Semegi Fidelis.... you are A STAR!!!!

    ReplyDelete
  2. hizo cement zisiishie kwingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...