Picture
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikamilisha usajili wa Kitambulisho cha Taifa wakati wa Uzinduzi wa Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa.
Picture
Picture
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Kitambulisho chake Mama Maria Nyerere.
Picture
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serekali, baada ya kuzindua Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa. Picha zote na Zanzi News blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Vitambulisho vya Taifa,

    Yule BWEGE wa Zanzibar tuliekuwa tunabishana naye wiki nzima anaona sasa?

    Vitambuisho vinagawiwa Zenj!!!

    Yeye anadai kwa kuwa anacho cha 'Ukazi wa Zanzibar' eti inatosha!, aangalie atakuja kujikuta hata Hospitali hawezi kupokelewa asipo kuwa na Kitambulisho cha kumthibitisha kuwa yeye ni Raia wa ''JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA''!

    ReplyDelete
  2. Iweje Mama yetu akabidhiwe kitambulisho chake Zanzibar, wakati kulikuwa na sherehe kama hii hapa hapa Dar wiki iliyopita? Ankali na wadau tujuzeni

    ReplyDelete
  3. Mdau wa 2 anony wa Thu Feb 14, 09:25:00 am 2013

    Mama yetu kupewa Kitambulisho Zenji na Maalim Seif Shariff Hamad kupewa Kitambulisho Tanzania Bara NI KUWA HAPO MSUMARI WA MWISHO NDIO UNAZAMA KWENYE JENEZA LA WAPINGA MUUNGANO!

    ENDELEENI NA UJINGA WENU KUPINGA MUUNGANO MTAJIKUTA HATA UZANZIBAR WENYEWE HAMTAKUWA NA SIFA ZA KUWA NAO!

    ReplyDelete
  4. Raisi wa Zanzibar Mhe.Dr. Shein anaendelea na kazi yake katika eneo lake la Utawala, akimaliza kugawa Vitambulisho kwa Raia wote wa halali wa 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania' asiyepata kwa ujinga wake itakuwa shauri zake!

    Huwezi kuwa Mzanzibar lazima uwe ni Raia halali wa 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania' huku ukiwa na Kitambulisho kamili kibindoni.

    Hata sifa ya Uzanzibar utaikosa, usipokuwa na Kitambulisho cha Utaifa (kwa use...ge wako mwenyewe)

    ReplyDelete
  5. Mdau wa 3 juu

    Hahahahaha!

    Siku 40 za Wapinga Muungano zimesha fika,

    Yule Mdau wa Zanzibar alikuwa anatuhesabia sisi waunga Mkono Muungano siku 40 na sasa zimegeuka kwake na kwao Wapinga Muungano.

    HAPO NYUNDO ANAYOITUMIA MHE.DR. SHEIN KUZAMISHA MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA LA WAPINGA MUUNGANO NI ILE 'NYUNDO YA CHUMA YA CCM'!

    ReplyDelete
  6. Assalam Alaykum, zenu Makomredi wa Mapinduzi Zanzibar!!!

    Kweli kazi mmeifanya mpaka hapo, na tunaahidi kuwa bega kwa bega wanandugu kuijenga Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    Wapinga Muungano Zanzibar ina watu takribani 5 mil. huku ninyi Wapinga Muungano mkiwa hamzidi (200,000) LAKI MBILI!

    Hivyo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo mkono kwa mkono na watu muhimu sana hawa Makomredi wa Mapinduzi ambao ni zaidi ya (4,800,000) MILIONI NNE NA LAKI NANE!

    HIVYO HATUWEZI KUWATOSA WANAMAPINDUZI 4.8 Mil. tukawapa ninyi Wapinga Muungano msiofikia 1 Mil.!

    Mnataka Dunia itueleweje?

    ReplyDelete
  7. Kwa taarifa yenu Wapinga Muungano:

    Mhe. Raisi Dr.Shein anamaliza jukumu lake anatoa Vitambulisho kwa WATANZANIA wote Visiwani 'Raia halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania' halafu akimaliza anajiandaa kwa Uraisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA mwaka 2015!

    Kazi kwenu Wapinga Muungano!

    ReplyDelete
  8. Kiama cha Wapinga Muungano kimewadia leo!

    Enhhh hivi ninaota au ndio kweli?

    Kweli ngebe zetu amezikata Mhe.Raisi wa Zanzibar Dr.Shein mfanye mipango mingine ya Kilimo ili kuijenga nchi!

    ReplyDelete
  9. Mtoa Maoni wa kwanza anony Thu Feb 14, 08:37:00 am 2013 huyo aliyechukulia Kitambulisho cha 'Ukazi wa Zanzibar' ni Bwege Mtozeni saana.

    Tokea lini Kitambulisho cha Ukazi kikawa cha Utaifa au Uraia?

    Hata huku bara vipi Vitambulisho vya Ukazi!

    ReplyDelete
  10. Haya sasaaaaaaaaaaaa!

    Wapinga Muungano mtasema nini?

    Zoezi lipo kwenu na asiyechukua Kitambulisho chake moja kwa moja atakuwa ameukana u-Zanzibari wake!

    ReplyDelete
  11. Wapinga Muungano mtafikia hata kupanda Boti lazima uwe na Kitambulisho cha Taifa!

    Hapo chacha?

    Mtajikuta mnalazimika kuogelea hadi Dar na kufikia Kawe Beach au huko Tegeta Beach au Mbezi Beach manyasini, ni vile Bandarini Dar ulinzi utaimarishwa kwa kuweka Coast Guards kukabiliana na waogeleaji haramu wasio na VITAMBULISHO VYA TAIFA!

    Je, changamoto hii mtaiweza?

    ReplyDelete
  12. Wewe anonymous wa Thu Feb 14, 08:37:00 am 2013

    Narudia tena wewe si ndiyo mwelevu sana, kwa kuwaita wenzio bwege, umeshindwa hoja ndiyo maana unaanza kutukna matusi. Hapo kweli inaonyesha akili zenu zilivyo finyu nyie magamba. Kwani hao viongozi mnaotaja hapa nani asiyejua vibaraka wenu?! Lakini welevu kama nyinyi hamuoni kundule.

    Na huyo jamaa wa Thu Feb 14, 11:36:00 am 2013
    Namba unazotoa, sijui watu wako 5m au !!?? umezibuni wewe kichwani. Nachosema na narudia tena tuwaache Wazanzibari walipigie kura ili swala la muungano, sasa hivi mnawalazimisha.
    Lakini jamaa wa Bala, welevu sana, hamsikilizi. Kwanza hamfikirii kwa vichwa veynu wenyewe mnagonjea viongozi wenu, wawe dini au serikali, hata kama pumba, mnafuata tu. Kunywa sumu mnakunywa, piganeni mnapigana. Hamna kuuliza, kufikirii wala kupinga, halafu mnajiita watu wakati misukule nyie!!!!

    ReplyDelete
  13. Nchi inakwenda Kisomi zaidi sasa Ki-Digitali, huku ikiwa na Mimali kibao mkononi kama Gesi,Mafuta,Madini,Urani na mali zingine nyingi tu !

    Hivyo ni lazima tuwe na Vitambulisho kwa kila Raia halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kila mmoja aweze kifikiwa na Mkono wa Mamlaka ya Serikali!

    Hivyo atakae acha kuchukua Kitambulisho cha Taifa Bara na Visiwani kwa ubwege wake mwenyewe baadae asije ilaumu Serikali !

    ReplyDelete
  14. Uamsho na Wapinga Muungano, acheni kuchukua Vitambulisho vya Utaifa muone Dunia itakavyo waangukia!

    Mtajikuta mnaogelea hadi Dar mkotika Zenji ni vile Gatini Znj na Dar itakuwa hupandi Boti hadi National ID!

    Mtajikuta huwezi hata kujisaidia kwenye Choo cha Umma cha Manispaa Zanzibar bila Kitambulisho cha Taifa!

    Mtaona hamuwezi kwenda MARIKITI kununa KITOWEO (samaki) hadi na Kitambulisho cha Taifa Mkononi kwa kila manunuzi !

    Sasa mtachagua muishi maisha ya Ujima ya KIZANI ama muishi ktk maisha ya Muungano MKIWA NA VITAMBULISHO?

    Kazi kwenu!

    ReplyDelete
  15. Assalama leko zenu Utawala wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    MMEWAKATA NGEBE WAPINGA MUUNGANO!

    Kitendo cha Mhe.Sheikh Malim Seif Shariff Hamad kuchukulia Kitambulisho chake Bara na Mama Maria Nyerere kuchukulia Kitambulisho chake Zenj ni TUKIO LA KIHISTORIA DHIDI YA UZANDIKI WA WAPINGA MUUNGANO AMBAO WANAHESABIKA MIONGONI MWETU!

    IDADI YA WAPINGA MUUNGANO NI SAWA NA TARAKIMU YA NAMBA ZA VIATU HAIDIZI No.9 IMEZIDIMIMEZIDI NI No.12 TENA HIYO LIWE NI JITU LENYE MIRABA MINNE KAMA HULK HOGAN AMA MIKE TYSON!

    WAPINGA MUUNGANO SUBALA KHERI ZENU KWA MPIGO!,,, HIVI NINYI IDADI YENU NI KAMA NAMBA ZA VIATU ITAWEZEKANA VIPI TUKUBALIANE NA (USE...GE) WENU?

    Pangeni foleni mpokee Vitambulisho vyenu vya Utaifa vya Muungano!!!

    ReplyDelete
  16. Hivi ndvyo vita alivyovitangaza kamanda ras....wa ffu? vita vya kuziba nyufa katika mpasuko wa jamii?
    kweli kikamanda ketu kinaona mbali!

    ReplyDelete
  17. Mtoa Maoni wa 12 anony wa Thu Feb 14, 02:27:00 pm 2013

    ...utaongea sana, lakini 'LITAWAKERA JIN MAX'

    Homa imeshapanda saana kilichobaki nimkumeza Dawa hakuna jinsi.

    Wewe ndio ulitoa siku 40 sasa mwenyewe unaona huwezi kubishana na Serikali ama kuwatetea Waasi wa Serikali!

    MMEKWISHA SHIKWA PABAYA, KAMA MADAI YAKO NI MABADILIKO KATIKA UTENDAJI WA VIONGOZI AU UTAWALA WA SERIKALI NZIMA, UNATAKIWA WEWE NDIO USEME NA KULETA MABADILIKO HAYO UKIWA NDANI YAKE KAMA MWANANCHI NA SIO KAMA MUASI.

    UTALETA UBISHI MWISHO WEWE NA HAO UNAOWATETEA MTAJIKUTA WENYEWE MNAPANGA FOLENI KUPOKEA VITAMBULISHO VYENU VYA TAIFA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...