Video Kutoka Chadema:Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Amesema:''CHADEMA kimechoshwa na uonevu na ukiukwaji mkubwa wa Kanuni unaofanywa na kiti cha Spika.Amesema hakuna Mbunge yoyote wa CHADEMA atakayeenda kuhojiwa na Kamati ya Bunge mpaka hapo rufaa zote 10 za Wabunge wa CHADEMA dhidi ya kiti cha Spika zitakapojibiwa..'
Home
Unlabelled
DR WILBROAD SLAA AUNGURUMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dr Slaa naona washauri wa Afya Bongo wameshindwa kumshauri afanye nini kuzuia mkono wa kushoto usilemea baada ya ajali hasa eneo la kiganja" Nasikita ana "Wrist drop"
ReplyDeleteNitatafuta njia ya kumshauri.
Mdau" Rehabilitation Specialist"
Mdau wa Kwanza Mtaalamu, umenena vyema!
ReplyDeleteTena nashangaa imekuwa vipi kwa kuwa yeye mwenyewe Dr.Slaa yupo kwenye CCBRT.
Sijui inakuwaje wenzie huko wanamwacha tu.
Sehria za Bunge na Taratibu hazipishani sana na Sheria za Kiimani katika Taasisi za Dini.
ReplyDeleteKabla Bunge halijajibu hoja zako, tunaomba utoe sababu zilizofanya ukaacha Upadre ukaingia kwenye Siasa yenye mkono wa BUNGE!
Wapi kwenye Katiba ya nchi pameandikwa ukiacha Upadri huruhusiw kuwa Mwanasiasa, mdau hapo juu acha us...ge!!!
ReplyDeleteUsiingize dini...chambua ana point au kelele tuu?
ReplyDeleteNyerere Mpya?
ReplyDeleteMdau wa nne (4) anony wa Thu Feb 07, 09:27:00 pm 2013
ReplyDelete....wewe ndio acha us...ge!!!
UENDESHAJI NI UENDESHAJI UWEPO POPOTE PALE:
...MAADILI NDIO CHA KUZINGATIA KTK UONGOZI!
1.HEBU ANGALIA UMESHINDWA KUENDESHA GENGE UTAWEZA KUENDESHA KIWANDA?
2.UMESHINDWA KUWA MWADILIFU KWA MWENYEZI UTAWEZA KUWA MWADILIFU KWA WANANCHI?
3.UMESHINDWA KUWA KATIKA MAISHA YA NDOA, MAISHA YA UKAPERA UTAYAWEZA?
4.UMESHINDWA UPADRI UTAUWEZA URAISI?
5.UMESHINDWA KUITUMIKIA DINI UTAWEZA KIUTUMIKIA NCHI?
Dini, nchi, padri, mwanasiasa havitusaidii. Je, Kanuni anazodai zimekiukwa na Spika ni kweli au uongo?. Simple.
ReplyDeleteKama ni kweli, Spika ashughulikiwe, kama ni uongo, Dr. Slaa ashughulikiwe. Kwisha.