HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA
TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, TAREHE 31 JANUARY, 2013
Home
Unlabelled
HOTUBA YA RAIS KIKWETE YA MWISHO WA MWEZI JANUARI 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimesikia hotuba ya Rais na pia Waziri mkuu. Hotuba zote mbili ni nzuri. Tatizo lililokuwapo ni kwamba Serikali haikuwa na utaratibu wa kuwaelimisha wananchi in time. Wananchi wa Mtwara walikuwa hawajuwi kinachoendelea kuhusu program nzima ya projects zilizopo mkoani. Fujo zilitokana na wasiwasi wakutokujuwa linaloendelea. Watanzania tunajulikana na tunasifa ya utulivu hivyo Wananchi wasiachwe kwenye giza. Transparency creates peaceful minds.
ReplyDeleteNimesikia hotuba ya Rais na pia Waziri mkuu. Hotuba zote ni nzuri. Tatizo lililokuwapo ni kwamba Serikali haikuwa na utaratibu wa kuwaelimisha wananchi in time. Wananchi wa Mtwara walikuwa hawajuwi kinachoendelea kuhusu program nzima ya projects zilizopo mkoani. Fujo zilitokana na wasiwasi wakutokujuwa linaloendelea. Watanzania tunajulikana na tunasifa ya utulivu hivyo Wananchi wasiachwe kwenye giza. Transparency creates peaceful minds.
ReplyDelete
ReplyDeleteThis is the best president Tanzania will ever get trust me i say so,,,
anaongea kwa kuumia sana una uchungu na nchi yake kuna wajinga wanataka serikali ionekane imeshindwa lakini kamwe hawawezi