Paparazzi mpya Da' Asha Baraka, Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, akiwa kazini...Sasa sie kina Ankal tukale wapi???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hapo sasa,mh makubwa

    ReplyDelete
  2. Ankal na wewe anzisha bendi mtoe ngoma droo!!!!

    ReplyDelete
  3. Ankal wa Michuzi fanya punguzo,biashara ushindani

    ReplyDelete
  4. Ndiyo utandawazi, enzi za ukiritimba zimeenda, hata hivyo kuna picha bora na bora picha.

    ReplyDelete
  5. Ankal we endelea kula sisiemu tu, akina Asha wao waendelee kuvaa green tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...