Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu (mwenye tai nyekundu) akiwa Katika msingi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Duga mkoani Tanga,Mahakama hii inajengwa kwa fedha za Mahakama. Mhe. Jaji Kiongozi yupo mkoani Tanga kujionea kasi ya utoaji haki na changamoto za kiutendaji na maendeleo ya miradi mbalimbali ya Mahakama. Waliosimama ni baadhi ya Watendaji wa Mahakama alioongozana nao Katika ziara yake. (Picha na Mary Gwera, Mahakama)
Home
Unlabelled
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania ziarani kutembelea Mahakama mkoani Tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ohhh huo ndio msingi wa jengo la Mahakama ya Serikali au Kilabu cha Kangara?
ReplyDeleteHiyo ni hela ya Kodi zetu au wananchi wanajenga kwa kujitolea?
Du, kasi ya ufisadi nchini ni kubwa sana, hapo uliza bei ya msingi huo utaonyeshwa masifuri kibao!