Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Kigoma jioni hii,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibwa wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.Wa tatu kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,Phillip Mangula.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu kutoka kwa vijana wa Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma,wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo,tayari kwa kuhudhulia Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),yatakayofanyika kitaifa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM - Bara,Mh. Mwigulu Nchemba.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM mkoani Kigoma.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma kumlaki.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Kada wa CCM,Mh.Rajab Mwilima.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sijui leo pia wale wahujumu watakata umeme!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mjomba Michuzi ungesema 'Ndege iliyombeba Raisi wa nchi' !

    Kwa kuwa watake wasitake Chadema lazima wakubali ya kuwa Mwenyekiti wa Chama Tawala (Chama cha Mapinduzi)-CCM ndiye Raisi wa nchi na ni lazima atatumia Usafiri wake wa ndege ya Raisi!

    Je. Mfano wewe Michuzi au mtu yeyote mwingine kama Mwana Chadema apewe Madaraka kama Mjumbe wa Nyuma Kumi halafu kabidhiwe Baiskeli kama chombo cha usafiri akiwa kazini.

    Je ikitokea akienda kwenye Sherehe amealikwa ina maana asiitumie Baiskeli aliyopewa?, aiegeshe na kwenda kwa miguu?

    ReplyDelete
  3. 1.Ni vugumu kuyatenganisha Madaraka ya Mhe. JK ya Uraisi na Madaraka yake ya Mwenyekiti wa Chama Tawala.

    2.Pia ikumbukwe ya kuwa Mhe. JK ameyapata Madaraka ya kuwa Mwenyekiti wa CCM wakati tayari akiwa ni Raisi wa nchi!,

    Hivyo watu wasipoteze muda kuhoji kwa nini anatumia ndege ya Urais kwenye shughuli za Kichama?

    Sasa je, ataitenga vipi nafsi yake wakati yeye huyo huyo ndiye Raisi wa Nchi wakati huohuo na yeye ndiye Mwenyekiti wa CCM?

    ReplyDelete
  4. 1.Ni vugumu kuyatenganisha Madaraka ya Mhe. JK ya Uraisi na Madaraka yake ya Mwenyekiti wa Chama Tawala.

    2.Pia ikumbukwe ya kuwa Mhe. JK ameyapata Madaraka ya kuwa Mwenyekiti wa CCM wakati tayari akiwa ni Raisi wa nchi!,

    Hivyo watu wasipoteze muda kuhoji kwa nini anatumia ndege ya Urais kwenye shughuli za Kichama?

    Sasa je, ataitenga vipi nafsi yake wakati yeye huyo huyo ndiye Raisi wa Nchi wakati huohuo na yeye ndiye Mwenyekiti wa CCM?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...