Inafurahisha kuona baadhi ya wajenzi wa vikwangua anga jijini Dar es salaam wamefikiria swala la maegesho ya magari kama huyu Mustafa Sabodo anayeporomosha bonge la kikwangua anga cha kuegeshea magari katikati ya jiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Good idea. Congrats kwako Mustafa, sasa na wengine waige kwa nia safi tu ili angalau nafasi ya watembea kwa mguu mjini ipatikane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...