Mzee Mbonea Kazeni Mshana.

Leo ni miaka 10 tangu ulipochukuliwa kukaa na Baba yetu wa Mbinguni Milele Tarehe 1/02/2003. Tunakumbuka, busara, hekima, kujali, malezi bora ya kwako uliyotupa. Tunakumbuka bidii, juhudi na uchapa kazi wako. Lakini tunaamini kuwa umepumzika na taabu za dunia hii vizuri.

Unakumbukwa na mkeo mpendwa Rahel Mshana, Wanao wapendwa Joyce, Felix, Joseph, Judith na Brian, pia wakwe zako Godlisten, Stephen na Neema na wajukuu zako Innocent, Rachel, Sarah, Daniel, Gideon, Elisha, Reinhard, Rachel na Jonathan.

Pia unakumbukwa na mkweo Naizihijwa Joseph Mritha, na Ndugu Zako na jamaa na marafiki tulioishi nao kwa upendo Mwadui -Shinyanga na Arusha.

Ufunuo 14: 13...."Heri wafu wafao katika Bwana Tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Poleni kwa kupotewa na Mpendwa wenu Mzee Mbonea.

    ReplyDelete
  2. RIP mzee Mshana...nakukumbuka sana tulipokuwa Mwadui Shinyanga.Kuna anejua alipo mdogo wake Joyceline..naomba contact zake tafadhali.Ameen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...