Hayati Musa Yohana Tuguta
(26/2/1942- 8/2/2009)

Ni miaka minne sasa tangu baba yetu  ututoke. Tulijifunza  mengi kutoka kwako,kupenda elimu,  kutochoka kujielimisha kuamini utapata mafanikio hapa duniani  kama utamtegemea Mungu  na kujua tulichojifunza bila kutegeme mtu yeyote 

Mke wako ,watoto wako ,na wajukuu wako  wanakukumbuka 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...