Libeneke jipya la Burger kinondoni karibu na kituo cha Vijana kinondoni
barabara ya Mwananyamala. Burger za nyama ya ng'ombe na kuku na ya
mbogamboga zinapatikana.karibuni sana mpate burger bora in
Town.Tunafungua kuanzia saa sita mchana mpaka saa nne usiku kila
siku,kama kuna oda zaidi ya 5 tunafungua muda wowote kutimiza ahadi ya
mteja.karibuni sana Kenzie Dream Burger mpate kitu roho inataka.
Home
Unlabelled
Libeneke jipya la Burger kinondoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...