Kaka Michuzi tafadhali naomba warushie wanalibeneke wa hii Globu yetu ya Jamii tovuti hii mpya ya kutangaza , kuuza na kununua bidhaa na huduma mbalimbali kwa njia ya mtandao. Si unajua tena Tanzania sasa hivi ni mambo ya digitali na mambo haya ndio mwake...
Katika tovuti hii waweza kujiandikisha na kutangaza bidhaa
unayotaka kuuza au kununua kisha wanunuzi na wauzaji watawasiliana na wewe ili muweze
KupigaDili moja kwa moja bila mtu wa kati.
Tovuti yetu inaweza kutangaza bidhaa na huduma kwa kuzingatia mikoa yote ya Tanzania.
Kwa miezi mitatu ijayo unaweza kuweka matangazo yako yote
bure bila kulipa chochote hivyo tembelea
www.pigadili.com
Jiandikishe kisha unaweza kuweka tangazo lako na kuanza kupigadili
kwa kuuza bidhaa na huduma mara moja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...