Bahati njema dereva wa roli hili aliwahi kupaki pembeni baada ya mitambo kukorofisha katika mlima maarufu wa Kitonga katika barabara ya Morogoro-Iringa. Vinginevyo ingekuwa foleni balaa. Ishukuriwe kwamba ulinzi shirikishi maeneo hayo yameweza kuleta amani maana enzi hizo vibaka wangeshaanza shughuli zao...
Hili basi dogo limepata mushkeli katika mlima huo na fundi mitambo anapiga jalamba kurekebisha mambo wakati abiria wakisubiria. Picha na Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...