Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana. Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar lilifanyika jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung. Malindi ilishinda mabao 3-1


Mshambuliaji wa Malindi, Masoud Ali Rashid (kushoto) akipambana na Yussuf Saleh wa Bandari, pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung ambapo Malindi iliichabanga Bandari mabao 3-1. Malindi ilishinda mabao 3-1.

Mchezaji Haji wa Haji wa Malindi akimiliki mpira. Malindi ilishinda mabao 3-1. Picha na Martin Kabemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hiyo hali ya uwanja ilivyo mbaya, inaonyesha jinsi hao ZFA walivyo kuwa sio serious,pana mpira hapo?

    ReplyDelete
  2. Yaani jamani hata kutengeneza uwanja mzuri tunashindwa? Au waafrika tuna utamaduni wa kutopenda vitru vizuri. Hapo ndio utaona wazungu wanatupita kwa mawazo.

    ReplyDelete
  3. Walijidai uwanja unajengwa kiko wapi?? na wakitokea wafadhili kujenga hawataki!! wanataka wapewe wao fedha!! wazitafune!! sisi tutabakia hivi hivi tu kuwa washindikizaji katika mashindano ya kimataifa!! kama vile Afrucan cup!! Kwa kweli inatia hasira! ati waliwapa Timu ya taifa ya zenji kila mchezaji dola 500 pesa gani hiyo si unamkatisha tamaa mapema huyo mchezaji wa kucheza mpira??? na kama unategemea maisha yako ni mpira hapo bongo basi ujuwe maisha yako utakuwa masikini!!

    ReplyDelete
  4. Zats terrible, how many injuries are sustained there. ZFA has a duty of care to those boyz. no wonder there are no spectoators!! I can't believe people actually play sport there - wot a joke.

    ReplyDelete
  5. they have shooes?

    ReplyDelete
  6. jamani kwani ni lazima muandike kiingilishi? mbona nanyi mnatutia aibu pia na lugha zenu mbovu?

    ReplyDelete
  7. wewe utakuwa hujui kusoma kingereza ndio maana unachukia!! uwe na uvumilivu bwanaa!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...