Hii ni sehemu ya Viroba vya Chumvi vilivyopangwa kando kando ya bahari ya Hindi,eneo la Bagamoyo mkoani Pwani.mali ya kampuni ya Sea Salt iliopo Bagamoyo,vikiwa tayari tayari kwa kusafirishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Halafu wanapewa fedha kidogo kweli ukilinganisha na hiyo kazi inayofanywa.

    Nilikwenda sehemu ya Saadani nikaona hata viatu hawavai wanakusanya chumvi tu na magari yanakuja kuchukua kwa bei cheeeee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...