Mamodo wakipita jukwaani kuonyesha mavazi ya aina mbali mbali,kwenye Onyesho la Lady In Red 2013 ndani ya Ukumbi wa Serena hotel,Jijini Dar es Salaam usiku huu.








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mwenye shati jeupe long sleeves ni Mange, kweli anajua kuchakarika, alikuwa kijiweni mchana, usiku anakula bata, big up CEO wa U Turn

    ReplyDelete
  2. jamani huyo mdada Mange anajituma sana jamani na anaispire pia,she lives her life,wengi hawapendi lifestyle yake ila mi binafsi namkubali sana,big up mamaa u turn

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...