Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akiwakabidhi bati
24 kwa viongozi wa CCM Tawi la Kwa Mayambi, kata ya Sungaji ili
kuezekea jengo la Ofisi.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kushoto) akikabidhi viti
45 kwa uongizo wa CCM Kata ya Sungaji ili vitumike wakati wa mikutano ya
Chama.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kulia) akimkabidhi kitabu
cha somo la sayansi ikiwa ni sehemu ya vitabu 121 kwa Mkuu wa Sekondari
Adrian Mkoba ,Harold Mhando.
Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla akiwa katika picha za aina mbalimbali
wakati wa ziara yake aliyoifanya kuanzia Februari 11 hadi 13, mwaka huu
katika vijiji kadhaa vya Kata ya Sungaji, Hembeti na Mzumbe iliyokuwa
na lengo la kutoa misaada ya aina mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa
ahadi zake pamoja na kusikiliza kero na kuhamasisha shughuli za
maendeleo. ( Picha zote na John Nditi).
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...