Kamanda
wa polisi kanda maalumu ya Dar es Saalam Suleiman Kova akijiandaa
kudaka mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa michuano ya Mpinga Cup
inayowahusisha waendesha pikipiki maarufu kama Bodabado inayoanza rasmi
leo kwa muda wa wiki moja. Mpinga cup imedhaminiwa na Airtel , Rotary
Club, Mr price na Shoprite ikiwa na lengo la kutoa elimu ya usalama
barabarani kwa waendesha pikipiki na kupunguza ajali barabarani .
akishuhudia kushoto ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP.
Mohamed Mpinga
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Seleman Kova akidaka
mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa michuano ya Mpinga Cup
inayowahusisha waendesha pikipiki maarufu kama Bodabado inayoanza rasmi
leo kwa muda wa wiki moja. Mpinga cup imedhaminiwa na Airtel , Rotary
Club, Mr price na Shoprite ikiwa na lengo la kutoa elimu ya usalama
barabarani kwa waendesha pikipiki na kupunguza ajali barabarani .
akishuhudia kushoto ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP.
Mohamed Mpinga.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Seleman Kova akikagua
timu wakati wa uzinduzi wa michuano ya Mpinga Cup inayowahusisha
waendesha pikipiki maarufu kama Bodabado inayoanza rasmi leo kwa muda wa
wiki moja. Michuano hii imeanza rasmi kwa mechi kati ya Kawe Tiptop na
Manzese anayefata pichani ni Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani
SACP. Mohamed Mpinga.
Mkuu
wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga akikagua timu
kabla ya mechi kati ya Kawe Tiptop na Manzese leo wakati wa uzinduzi wa
michuano ya Mpinga Cup, anayefata pichani ni Meneja Uhusiano wa Airtel
Jackson Mmbando.
kikosi
cha timu ya Kawe Tiptop katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya mpinga Cup yaliyofanyika leo katika viwanja vya polisi
oyesterbay , katikati pichani ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Seleman Kova akifatiwa na Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani SACP. Mohamed Mpinga.
kikosi
cha timu ya Manzese katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa
mashindano ya mpinga Cup yaliyofanyika leo katika viwanja vya polisi
oyesterbay , katikati pichani ni Kanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es
Saalam Suleiman Kova akifatiwa na Mkuu wa kikosi cha Usalama
barabarani SACP. Mohamed Mpinga
nadhani ni kati ya kawe na manzese tip top, hatuna kawe tiptop
ReplyDeleteThats good job jeshi ra porisi, inabidi tuwe wabunifu kwenye kufikisha ujumbe
ReplyDeletejamani kamanda Kova nae apewe namba mpaka kitambi kiishe kha.
ReplyDeleteAfande Kova Ongera sana kwani anasupport sana jamii, sana Michezo. Mungu akulinde Afande Kova.
ReplyDelete