Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mawasiliano ya
Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza,akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati
alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko
Vodacom Tanzania wakiwa wameshikilia hundi yao yenye thamani ya $ 5,000 mara
baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Bw. Rene Meza (wa
pili kulia)kwa kuibuka wafanyakazi bora kwa mwaka 2012/13.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
wakimsikiliza Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo hayupo pichani akiongea nao
wakati wa kukabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene
Meza(kulia)akimkabidhi Abella Tarimo, Meneja biashara wa Vodacom Tanzania
zawadi ya ngao na cheti kwa kuwa mfanyakazi bora katika kuunganisha idara zote
kwa wakati na utendaji kazi kiufanisi. Anaeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa
Idara ya huduma kwa wateja Harrieth Lwakatare.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania
Bw.Rene Meza wa saba toka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi
wa kitengo cha Jasiliamali watu mara baada ya zawadi ya ngao na cheti wakati
alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
why in USD!? WHAT HAPPENED TO TSH NOWADAYS???!!!
ReplyDeletejamani huko voda mabachela wakumwaga mtaoa lini? au bado nipo nipo kwanza wajameni mustachi zimeanza kuota mvi....
ReplyDeleteValue mate!!!!!!!!
ReplyDelete