Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova akizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar huko katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova wakwanza kushoto akizungumza na Waandishi wa Habari mbalimbali hapo katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk kushoto akipokeya Zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova walipomaliza Mazungumzo hapo katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Zanzibar na Viongozi mbalimbali baada ya kumaliza kwa Mazungumzo yao katika Hoteli ya Serena ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
PICHA NA -MAKAME MSHENGA -MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...