Hello uncle Michuzi,

naomba msaada wa tutani, naomba kama kuna mtanzania yeyote anayeishi seattle washigton, awasaliane na mimi kutumia my email addres shizzlealex@yahoo.com. na plan ya kutembea huko soon, nahitaji mtanzania wa yoyote kunitembeza. 

Ahsante sana and stay blessed.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Haha state ID nini.karibu

    ReplyDelete
  2. utalipa? au unataka bure?

    ReplyDelete
  3. Acha ushamba wewe? Unataka kutembezwa unafikiri huku watu wana muda wa kupoteza bila mpango!

    ReplyDelete
  4. Watanzania tuache Dezo. Ukienda kwa jambazi!! Mzamiaji nini!

    ReplyDelete
  5. Jaribu Tour guide agency. Watanzania wote tupo kazini siku zote 7. Ha ha ha.

    ReplyDelete
  6. We fala nn yaani watu waache kazi zao wakakutembeze wewe!!umeambiwa huku kuna mbuga za wanyama za kutembelea.

    ReplyDelete
  7. Take the above advise, no one will have time to take you around, life in US/Europe is different from back home, just get a city tour guide which you can buy from any bookshop even at the airport.

    If will happen any one promised to take you around, believe me will never happen.

    ReplyDelete
  8. Ivi huyu hata habari hana, wenzako sikuhizi tunapashwa habari kila siku na kijiwe cha ughaibuni kuhusu mambo hayo.Nadhani nchi kama USA haikosi ramani kwa kila mji hivyo kama ngeri inapanda sidhani kama unahitaji mtu akushike mkono.Vinginevyo mhhhh.

    ReplyDelete
  9. huyu atakuwa katoka juzi DAR! NANI ANAMUDA WA KUKUTEMBEZA.. WATU WAKO BUSY 24/7.NDIO MAANA KUNA TOUR GUIDE.. GOOGLE .. UTAWAPATA UTATEMBEA MPAKA UCHOKE.sie tupo kazini tukirudi tumechoka

    ReplyDelete
  10. Mna roho mbaya kama nini? msaidie mpeni mawazo.....

    ReplyDelete
  11. KUFIKA HUKO UGHAIBUNI MSIJIFANYE NDIO MMEFIKA MWISHO MPENI MWENZENU MAWAZO YA KUMSAIDIA NDIO ANAJUA MKO BUSY NA KAZI ZA KUOSHA VYOMBO LAKINI SI MMWAMBIE MAWAZO YA KUMSAIDIA?ACHENI ROHO MBAYA

    ReplyDelete
  12. Miaka miwili iliyopita, na mie nilipata ki study tour cha kwanza US. Kwa ushamba wangu na mie nikaandika hapa juu ya watu wa DC. Wengi wenu mlichafua hewa hapa na kuniletea maneno ya nguoni. ILA kuna watu waliwasiliana nami na kunielezea mengi ya muhimu:Kwa mfano: Nilikaa Rosslyn, Arlington, VA na nilishauri kutochukua Taxi toka Dulles Airport (60$)bali kupanda Metrobus 5A for 6$. Hao hao watanzania mnaodai kuwa wako soo busy walinipeleka sehemu mbali mbali za kuburudika weekends including kupata ugali kwa dagaa Maryland. Mbali ya hapo, niliagizia Taxi bubu ya mtanzania wakati nakwenda na family Fort Lauderdale Fl kwa ndege tokea Baltimore-Washington International Airport (BWI). Like wise, hao hao watanzania mnaowasagia hapa waliniadvise kwenda NYC kwa Tripper buses na sio train au Grayhound. Kwa kifupi, wote niliowaona huko walikuwa positive na baadhi yao wamekuwa marafiki wa kudumu. Nahali hiyo nimeona watanzania wengi pale Greece, Turkey na Spain. Hivyo acheni kujiongezea bei na story za kuwa busy: iwapo mtu anakuja huko sio kwamba anshida: kuna watu wana per diem kama mshahara wako wa mwezi ila wanaitaji ushauri tu: wapi wakachukue Limo yenye dereva mswahili ili wakaone really ghettos. I stand accussed: Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...