Familia ya Dr. Denis William Issa mkuu wa kituo cha utafiti wa miwa Kibaha Mkoa wa Pwani inasikitika kutangaza kifo cha Dr Denis Wiliam Issa (pichani) kilichotokea 21 February 2013 katika Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

Mazishi yanategemewa kufanyika nyumbani kwa marehemu  Picha ya Ndege mjini Kibaha leo Juma mosi, tarehe 23 February, 2013 kuanzia saa5 asubuhi.  Habari ziwafikie wanandugu wote wana Mtwara na wafanyakazi wa wizara ya Kilimo pamoja na Watafiti Wote
Mawasiliano 0715297361
Bwana Ayubu Makoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP Dr. Issa. We loved you but God loves you more.

    ReplyDelete
  2. May God rest his soul in peace and grant strength to his family!

    ReplyDelete
  3. RIP Issa. I will always remember the good times we spent in Belgium and Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...