Home
Unlabelled
MUHIMBILI YAFANYA MABADILIKO YA MFUMO WA UKUSANYAJI MAPATO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa hivyo na hao "Vishoka" wanaozagaa ndani ya Hospitali maalum kwa kuwa unganisha wagonjwa na Madakitari kwa huduma ijulikanayo kama "CCD" watahama?
ReplyDeleteMuhimbili! ni pasua kichwa, omba usiwe na mgojnwa ni hatari!
Je benki ikifungwa na nina mgonjwa usiku nina referal inakuaje? Nashauri benki hiyo iwepo masaa yote kwa sababu ugonjwa hauna muda na ikibidi watoa huduma hiyo ktk benki wawe na shift vinginevyo hii italeta shida sana . Ni vizuri kuwa mnaboresha ukusanyaji wa mapato lakini huduma nazo mboreshe wapeni madaktari vitendea kazi na kujali muda wa malipo yao mbona kwa viongozi wengine serikalini hizo incentive zinapatikana. Madaktari wanahangaika kuboresha maisha yao kwa kukimbilia part-times kwenye hosp. nyingine daktari anakuwa na hospt kama 5 anazohudumu kwa siku je concentration ile ya kumsikiliza mgonjwa ipo? je yeye atapumzika wakati gani. Madaktari muhimbili hawana hata canteen ya wao wenyewe kula kwa usafi na kurelax wakati dr anapotoka kwa mfano theater kumfanyia mgonjwa operation ya masaa kama 8. Hii ni mbaya sana tuaendelea kupewa dawa ambazo siyo na kuharibu dawa bure. NJELEKELA TATUENI MATATIZO YA MUHIMBILI KWA KINA. Fanyeni research muone dawa waazopewa wagonjwa wanatumia? Mtu anatoka hospt. na kifurushi na kinaishia kutupwa maana dawa siyo kwa mgonjwa husika. iFANYENI BASI IWE YA MALIPO SAWA WALAU BEI IPUNGUE IWE HATA KUFIKIA ROBO YA APOLLO INAWEZEKANA. iwe ya mfano E. AFRICA. FUNGUKENI
ReplyDeleteDr.Marina Njelekela, Mkurugenzi Mkuu MHN,
ReplyDeleteHongera kwa hatua hiyo, lakini nafikiri kwa muundo wa maadili ya Watumishi hapo kwenye Taasisi itakuwa ni MUHALI (vigumu) mtu kupewa Huduma bila ya CHA JUU!
Sasa je ktk utaratibu wa Malipo hayo cha juu tutawekaje au patakuwa na MENU ktk Mtandao wa hayo Malipo itakayotufikisha ili tuwafikie Manesi na Madakitari ili tuhakikishiwe huduma bora?
Ama kweli baada ya Pongezi kwa hatua hiyo nadhani tutoe pia na Pole kwa wengi watakao fiwa na Wagonjwa wao mikononi kwa kuwa 'Vishoka' watakosa chao hivyo wagonjwa kukosa huduma stahiki!
ReplyDelete