| Mhe. Mahadhi (kulia) akiendelea na mazungumzo na Mhe. Bongani Majola, Msajili Mpya wa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) alipofika Ofisini kwa Mhe. Mahadhi kwa mazungumzo. |
| Mhe. Majola akiendelea na mazungumzo na Mhe. Mahadhi. |
| Mhe. Mahadhi na Wajumbe wengine wa ICTR wakimsikiliza Mhe. Majola. |


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...