ANgoma ya 'Malaika' imeimbwa na wengi lakini Miriam Makeba ndiye aliyeitendea haki kisawasawa
Home
Unlabelled
ngom azipendazo ankal - enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yeye ndiye aliyeitangaza hii nyimbo dunia nzima.
ReplyDeletevile vile iko version nyengine ameimba na Harry Belafonte.
ReplyDeleteWe annony hapo juu jitahidi kutumia kiswahili fasaha-ili tudumishe na kujivunia lugha yetu.
Huu wimbo na siyo hii nyimbo.
Version nyengine.Tumia neno la kiswahili safi.
Nilitaka niandike kitu fulani lakini Anony #2 amenichekesha hadi mawasiliano ya Internet yakakatika.
ReplyDeleteDavid V
We mdau wa pili acha kumkandia mtoa hoja wa kwanza.Nipo ughaibuni zaidi ya miaka 20,lakini bado tunajitahidi na lugha yetu ya kiswahili. Ukitaka kuwa "kifimbo cheza" basi anza na watangazaji wa redio hapo bongo, hawa vijana wa bongo fleva ndo kiswahili chao kibovu tupa jalalani, msamiati wao umedorora, kuna binti mmoja yuko mtoni miaka mitano na tulikutana kwenye ndege akaniuliza nani atanipokea "air-port", nikamjibu "mpwa wangu atakuja kunilaki", basi nikamwacha hoi bin taaban, wachilia mbali "kunilaki", hata "mpwa" alikuwa hajui maana yake nini.
ReplyDelete"Tonga si tuwi".
Mdau mamtoni.