Commodores na Ngoma yao ya Night Shift walikuwa sooo...!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hapa wazee wa kazi walimwimbia Marvin Gaye (pamoja na waimbaji wengine maarufu) baada ya kifo chake ambacho kiliwauma sana.

    Kwa wale vijana wadogo hii ndiyo bendi ambayo alikuwa anaimbia Lionel Richie kabla ya kujitenga na kuimba solo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...