Tancut Orchestra ya mjini Iringa enzi hizo walikuwa si mchezo. Hebu wacheki kina Abdul Salvador, John Kitime, Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa, Kawelee Mutimana na wengineo wakikupa 'Safari sio kifo' katika mtindo wao wa Fimbo Lugoda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Dah! Michuzi, umenikumbusha mbali sana. Wakati huo nasoma dalasa la saba,katika shule fulani inaitwa Itulavano maili kama kumi toka Mafinga mjini, nilikuwa natoroka usiku, natembea kwa mguu kwenda kuwaona Kimuli muli Band na Tabia Mwanjelwa, pale jeshini-Mafinga. Nadhani kitu kama mwaka 1983-84 hivi.

    ReplyDelete
  2. Ktk wimbo huu wa samahani ya uongo huwa nasikiliza chombo kimoja tu nacho ni tumba. Alipiga Marehemu Haruna Lwali. Hajatokea mpiga tumba wa kunikuna kama huyu. RIP Haruna

    ReplyDelete
  3. ahsanteni kyanga songa na kasaloo kyanga kwa kututumbuiza na muziki. mungu awapumzishe salama usalimini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...