Piga ua lakini ngoma ya Koffi Olomide 'Mopaoa' na kundi lake la QUARTIER LATIN ya ULTIMATUM si mchezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal cjuhi kwa nini huwa huweki maoni yangu, hapa umenikumbusha mbali mie mzee wa zamani(japo nina miaka28). Sasa naomba niwekee huyu huyu Koffi wimbo wake wa àmbkila muyaya, hehe ambukila muyaya mawengee`, plis naitafuta sana ila jina ndo nimelisahau, fanya ndo iwe zawadi yangu ya birthday. Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...