Asante mdau Mesiaki kwa kutukumbusha ngoma hii ya 'I don´t mind' ya WINSTON SOSO aumbayo enzi hizo ikipigwa pale YMCA disco alikuwa hakai mtu...
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ahhh Ankal unanitoa machozi!
ReplyDeleteWimbo huu unagongwa nakumbuka nipo kijana mdogo Ki-serengeti boys ktk early days Secondary Form 1, hata kwenda Dansini nilikuwa naambatana na kaka zangu na dada zangu tukifika mlangoni wanapata kazi ya ziada kuniombea kuingia ndani!
Lakini sikuwa kama Watoto waliofeli Mtihani wa Kisasa, nilikuwa nayaruka Marumba kila wikiendi dansini lakini nikirudi Darasani No.1 kila Mtihani!, na karibu kila somo A huku B chache na C moja mbili!
Ooooh man ! uncle you remind me of fabulous good old days at Mbowe RSVP and YMCA disco theque, I remember we used to sing this song "I don't mind if want to give me your michuzi"
ReplyDelete