Ngoma hii kitu toka Bondeni Afrika ya Kusini ya 'We are number one' by The Winners ilikuwa wimbo wa 'taifa' enzi zile ktk kumbi za Dar. Mdau Mesiaki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Du Ankali hii nayo imenitoa machozi!!!

    Hii ni mwaka 1986 babake tunaziruka YMCA, Mbowe Space 2000 Disco na Maggot/Ushirika 1900 Vision Disco.

    Halafu pana ile Nelson Mandela inapigwa na Wamarekani Weusi na Weupe mwaka 1991 wakati Mzee Madiba anatoka kifungoni.

    Pana Kundi la Wanamuziki wa Marekani wamekaa ktk Jukwaa kubwa akitajwa Mandela ktk wimbo wananyanyua picha yake juu !!!

    ReplyDelete
  2. Umenikumbusha magot Biashara ya kina dada wa ucku ilianziea pale ukiachia wale waliokuwa wanaweka Vibatali mlangoni enzi zile kaka hahah ilikuwa bomba sana tunajuana wajanja wote toka pembe zote kupitia redio mbao

    ReplyDelete
  3. Asante mdau Mesiaki.Yeah,wimbo huu ulikuwa mzuri,imebidi niingie kwenye Library yangu kuutafuta na kuusikiliza tena.Enzi za Mafanki(Funky),tulikuwa tunayumbayumba kama Mibuyu.

    David V

    ReplyDelete
  4. hahahahah!!!

    Jamani sisi wa enzi zile kweli tulifaidi, Ankali unaona eeehh?

    Hawa watoto tumewafunika saaana tu kwa starehe wasituambie kitu!

    Angalia unaingia Maggot mwanawane na Bunda lako la NOTI NYEKUNDU kibindoni unajiona ni Jogoo la maana hakuna mfano!!!,,,angalieni unafika mahala kama Magott unachagua mzigo huku wakiwa wanakanyagana wauzaji kila mtu anataka achaguliwe yeye, kila mmoja anajinadi kwa upande wake, ahhh wenyewe tunajiendea pekupeku bila kinga wala nini miaka ile!

    Mdau wa pili anony wa Thu Feb 28, 11:00:00 am 2013 ama kweli Kipindi kile Mapenzi ilikuwa ni burudani na si biashara kama sasa!

    ReplyDelete
  5. Ankali tuwekee Wimbo anaosema Mdau wa Kwanza hapo juu wa Nelson Mandeal uliopigwa na Wamarekani mchanganyiko baada ya Mandela kuachiwa Jela mwaka 1991.

    Inaonyesha wapo ktk Jukwaa kubwa akitajwa Mendala wananyanyua picha yke juu.

    Nakumbuka wimbo ulikuwa hivi:

    WIMBO:

    We are less?, we are less?

    Nelson Mandela!, Nelson Mandela! x 7

    Nelson Mandela is a man. we are less!

    END.

    ReplyDelete
  6. Ankali wewe na mimi tupo Kundi moja!!!

    Kwa haya Marumba ndiyo yanayowafunika kabisa kila idara hawa watoto wa Kizazi kipya!

    Lazima wakubali ndio, tumesha zeeka lakini tulikuwa Mabrazameni WA UKWELI zaidi yao , na Masista Duu maana siku zile ilikuwa hakuna Scrub wala nini Saloon , na Mademu ilikuwa uzuri uzaliwe nao hakuna hata manyoya ya Farasi kwa nywele!!!

    Hawatuwezi ng'o!

    ReplyDelete
  7. hehehehe

    Mdau wa 5 juu,

    Kwa kwli Mabra kaka Mahsaro baro wa kisasa hawa watoto wamefikia pabaya kwa kuwa licha ya kwenda Salon na kufanya scrubs kwa wingi wanavaa hadi Bikini chupi za Kike, zenye ukamba unateotenganisha kalio moja kwa lingine.

    Angalia suruali zao, za kike unakuta ile Luksi ni fupi!!!

    ReplyDelete
  8. Hehehe! I'm just speechless! Remember YMCA. What a good life. Thank u so much ankal. God bless.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...