Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa akimshukuru Josephine Kulwa kwa msaada waliopata toka NMB |
Walimu nao wa Mbeya sekondari hawakuwa nyuma kuja kupokea msaada huo hapa wakiangalia kompyuta hizo |
Baadhi ya watumishi wa NMB wakiwa makini kusikiliza shukrani zinazotolewa shuleni hapo |
Meneja mawasiliano wa NMB Josephine Kulwa amewataka waalimu na wanafunzi hao kutumia vifaa hivyo kwa malengo yaliokusudiwa na kuvitunza ili na wengine wapate kuvitumia. |
Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa pia nae amewashukuru sana NMB kwa msaada waliotoa kwa shule yake |
Huu ndiyo msaada wa kompyuta na printer toka NMB Picha na Mbeya yetu |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...