Majaji wa kipute hicho kutoka kushoto ni Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’, John Dilinga ‘DJ JD’ na Ally Mohammed ‘Baucha’ wakifuatilia kwa makini mpambano huo.
Washiriki wa kinyang’anyiro cha kumsaka ‘The Mic King’ kinachotimua vumbi kila Jumapili ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambacho mshindi anatarajiwa kujinyakulia gari jipya la kisasa, jana usiku walimtoa jasho mkali wa rap hapa nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ kwa kuchana mistari ya nyimbo zake kiufasaha.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY/GPL)








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...