


Shamba lenye ukubwa wa heka moja na nusu linauzwa maeneo ya Kiromo, Bagamoyo, liko jirani na Kiromo View Resort kwenye barabara kuu iendayo Bagamoyo mjini, kiasi cha 10 tu. Lina kibanda cha vyumba vinne, linafaa kwa uwekezaji wa shughuli mbalimbali za kibiashara, kwani liko barabarani kama picha zinavyoonesha. Bei ni maelewano.
KWA MAELEZO ZAIDI, PIGA SIMU: +255 657 803139


He! kibanda cha vyumba vinne, hiyo kali.
ReplyDelete
ReplyDeleteLINA HATI?
TUWEKEE BEI BASI , MPAKA TUKUPIGIE SIMU?
ReplyDelete"BARABARA KUU, UMBALI WA MITA 20 TU" THAT TURNED ME OFF!
ReplyDeleteKwa wabongo utatajiwa bei ya ajabu. Sijui bei elekezi zitaanza lini.
ReplyDeleteWasanii hao! Shamba halifiki hata ekari moja wanataka dola elfu themanini, halafu halina hati!
ReplyDeleteUwezekano mkubwa Bei itaanzia Masifuri kama 9 hivi yakitanguliwa na namba 1. yaani kuanzia B moja!
ReplyDeleteJe, ule mpango wa Bomba la Gesi halipiti hapo?
ReplyDeleteMkugugenzi tuwekee 'masifuri' kwa uchache tafadhali!
ReplyDelete