Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akimkabidhi Spika wa  Bunge  Anne Makinda ripoti yao. Kamati hiyo iliundwa na Mheshimiwa Spika kwa lengo ka kuaandaa Mapendekezo ya kuishauri serikali kuhusu kuainisha vyanzo mbalimbali vya Mapato ndani ya serikali yaliyo ya kodi na yasiyo ya kodi
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa amekabidhiwa ripoti hiyo
 . Mwenyekiti wa kamati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato Mhe. Andrew Chenge akitao utangulizi wa ripoti yao 


Spika wa  Bunge  Anne Makinda akiwapongeza wajumbe wa kamati amati Mahsusi iliyoundwa na Mhe Spika kuishauri serikali namna ya kuongeza uwigo wa mapato mara baada ya kukabidhiwa ripoti ya kamati hiyo ambayo ataiwasilisha serikalini. Picha na Owen Mwandumbya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kulia kwa spika ni mzee Change anaonekana yuko shepu kweli, kaa sawa tu mzee hawakuwezi eti !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...