Baadhi ya Wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo wakiwa kwenye picha ya pamoja,mapema leo asubuhi mara baada ya kumaliza mkutano wao na Wanahabari ndani ya ukumbi wa hoteli ya Bell Monte,jijini Dar.
Mmoja wa wasanii mahiri,Mr Blue,ambaye pia atashiriki kutumbuiza kwenye tamasha hilo akitoa vionjo kwa Wanahabari (hawapo pichani).
Mratibu wa tamasha hilo kutoka kampuni ya Prime Time Promotions Ltd,Lumuliko Mengele a.k.a Dj Mully B akifafanua kuhsiana na maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika kwenye ufukwe wa Coco beach,februari 10 jijini Dar Es salaama,Shoto kwake ni baadhi ya wasanii watakaoshiriki tamasha hilo.
Pichani shoto ni Meneja wa chapa ya Tigo Bwana William Mpinga akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi huo akisema "Tigo ina fahari kubwa kwa jinsi ambavyo inawajali na kuwapa thamani wateja wake kupitia bidhaa zake mbalimbali za mawasiliano.
Niliposoma tamasha kubwa la muziki nilidhani ni bendi za muziki kadhaa ndizo zingeshiriki.
ReplyDeleteKatika picha naona wasanii wa kizazi kipya wa nyimbo na siyo wanamuziki wa bendi za muziki ambao wangeshiriki ktk tamasha kubwa la muziki.
Mdau
Wa-Muziki
Subiria Tanzania Live Music Festival II later this year. Last year 10 top bands participated.True Live Tanzanian Music on world class stage.
ReplyDelete